Ruka hadi maudhui
AzamPesa
Pakua App

Blogu ya AzamPesa

Habari na vidokezo

Jinsi ya kutumia AzamPesa, habari mpya na njia za kuokoa pesa kila siku.

Bango: huduma za AzamPesa zinapatikana kwenye mgodi wa AzamTV

Makala maalum

Dakika 1 za kusoma

AzamPesa inapatikana mgodini

Sasa ni rahisi zaidi kupata huduma za Azampesa! Tembelea Mgodi wa AzamTV Dar es salaam upate huduma zote muhimu kwa urahisi na haraka.

Makala mpya

  • Bango la Lipa Hapa ya AzamPesa kwa wafanyabiashara

    Dakika 1 za kusoma

    Faida 3 za Kutumia Lipa Hapa ya AzamPesa kwenye Biashara yako

    AzamPesa ni huduma ya kifedha inayokuwezesha kufanya miamala kwa gharama nafuu zaidi, ukiwa kama mfanyabiashara unahitaji Lipa namba ya Azampesa kwenye biashara yako kukusaidia mambo haya muhimu kwa gharama nafuu zaidi ambayo haiumizi mtaji wako. Gharama Nafuu za Miamala: Kufanya miamala kwa AzamPesa ni nafuu zaidi hivyo humuwezesha mlipaji kuokoa kiasi cha pesa anachoweza kukitumia…

  • Bango: njia za kuwasiliana na AzamPesa

    Dakika 1 za kusoma

    Njia za kuwasiliana nasi

    Ndugu mteja wetu, tunafurahi kuwa wewe ni sehemu ya familia ya Azampesa, na tunashukuru kwa kuendelea kufurahia huduma zetu za nafuu na bora. Ili kuhakikisha unapata msaada wa haraka na huduma za ziada, hizi hapa njia mbalimbali rahisi za kuwasiliana nasi. Njia za Mawasiliano na Azampesa Kupitia SimuTunajivunia kutoa huduma bora kwa wateja wetu!…

  • Bango: Je, wajua? Okoa pesa kwa kutuma AzamPesa kwenda AzamPesa BURE

    Dakika 1 za kusoma

    Je, wajua?

    Unaweza kuokoa pesa ukitumia Azampesa Ikiwa wewe ni mtumiaji wa kawaida na unafanya miamala ya kutuma pesa na unatuma kati ya shilingi 10,000 hadi 20,000 kwa siku, basi unajua makato yake kila unapofanya miamala ni makubwa. Kwa mfano, ukiweza kutuma pesa mara mbili au tatu kwa siku, jumla ya makato yake inaweza kufikia zaidi ya…

  • Wakala wa AzamPesa akihudumia mteja

    Dakika 2 za kusoma

    Jinsi ya kupata floti za mawakala wa AzamPesa

    FLOTI ZA MAWAKALA WA AZAMPESA Azampesa inaendelea kuboresha huduma kwa mawakala. Azampesa inaendelea kuboresha huduma zake kwa mawakala wake walioko kote nchini. Kama wewe ni wakala, sasa unaweza kufika kwenye vituo mbalimbali vya huduma kupata huduma ya floti, ambayo ni huduma ya kuweka na kutoa pesa kama wakala. Hii ni fursa nzuri kwa mawakala kuboresha…

  • Bango: faida za kutumia AzamPesa

    Dakika 2 za kusoma

    Faida za Kutumia AzamPesa: Huduma Bora na Unafuu Kwa Mahitaji Yako

    AzamPesa inaleta mapinduzi katika ulimwengu wa huduma za kifedha kwa kutoa unafuu wa gharama, usalama wa hali ya juu, na urahisi wa kufanya miamala. Hizi hapa ni faida na huduma unazoweza kufurahia unapojisajili na kutumia AzamPesa. 1. Faida za Kutumia AzamPesa Miamala ya Unafuu: AzamPesa inakupa nafasi ya kufanya miamala kwa gharama ndogo, ukitunza pesa zako…

  • Bango: jinsi ya kutuma pesa kutoka AzamPesa kwenda mitandao mingine

    Dakika 2 za kusoma

    Jinsi ya Kutuma Pesa kwa Gharama Nafuu Kutoka AzamPesa Kwenda Mitandao Mingine

    Urahisi wa kutuma pesa kupitia mitandao mbalimbali ya simu ni muhimu sana. AzamPesa inafanya mchakato huu kuwa rahisi, salama, na haraka. Jinsi ya Kutuma Pesa Kutoka AzamPesa Kwenda TigoPesa / EzyPesa Kwa kutumia App ya AzamPesa: Fungua App yako ya AzamPesa. Chagua Kutuma Pesa. Chagua Mitandao Mingine. Ingiza namba ya mpokeaji (mfano, 0714 XXX XXX).…

  • Bango: AzamPesa ni nini?

    Dakika 2 za kusoma

    AzamPesa ni Nini?

    AzamPesa ni huduma ya pesa kwa njia ya simu inayokuwezesha kufanya kufanya miamala kwa gharama nafuu. Hii inajumuisha kutuma na kupokea pesa, kununua vocha za muda wa maongezi, malipo ya wafanyabiashara, kulipa bili kama vile umeme na maji, malipo ya serikali, kufanya uhamisho wa pesa kwenye benki,