Urahisi wa kutuma pesa kupitia mitandao mbalimbali ya simu ni muhimu sana. AzamPesa inafanya mchakato huu kuwa rahisi, salama, na haraka.

Jinsi ya Kutuma Pesa Kutoka AzamPesa Kwenda TigoPesa / EzyPesa Kwa kutumia App ya AzamPesa:

  1. Fungua App yako ya AzamPesa.
  2. Chagua Kutuma Pesa.
  3. Chagua Mitandao Mingine.
  4. Ingiza namba ya mpokeaji (mfano, 0714 XXX XXX).
  5. Weka kiasi unachotaka kutuma.
  6. Bonyeza Endelea kukamilisha muamala.

Jinsi ya Kutuma Pesa Kutoka AzamPesa Kwenda TigoPesa / EzyPesa. Kwa kutumia Namba ya USSD:

  1. Piga *150*08#.
  2. Chagua Kutuma Pesa.
  3. Chagua Kutuma Kwa Mitandao Mingine.
  4. Chagua chaguo la 1 kwa TigoPesa.
  5. Ingiza namba ya mpokeaji.
  6. Weka kiasi.
  7. Thibitisha kwa PIN yako na endelea.

Jinsi ya Kutuma Pesa Kutoka AzamPesa Kwenda HaloPesa Kwa kutumia App ya AzamPesa:

  1. Fungua App yako ya AzamPesa.
  2. Chagua Kutuma Pesa.
  3. Chagua Mitandao Mingine.
  4. Ingiza namba ya mpokeaji (mfano, 0621 XXX XXX).
  5. Weka kiasi.
  6. Bonyeza Endelea kukamilisha muamala.

 Jinsi ya Kutuma Pesa Kutoka AzamPesa Kwenda HaloPesa. Kwa kutumia Namba ya USSD:

  1. Piga *150*08#.
  2. Chagua Kutuma Pesa.
  3. Chagua Kutuma Kwa Mitandao Mingine.
  4. Chagua chaguo la 4 kwa HaloPesa.
  5. Ingiza namba ya mpokeaji.
  6. Weka kiasi.
  7. Thibitisha kwa PIN yako na endelea.

Jinsi ya Kutuma Pesa Kutoka AzamPesa Kwenda MPesa Kwa kutumia App ya AzamPesa:

  1. Fungua App yako ya AzamPesa.
  2. Chagua Kutuma Pesa.
  3. Chagua Mitandao Mingine.
  4. Ingiza namba ya mpokeaji (mfano, 0744 XXX XXX).
  5. Weka kiasi.
  6. Bonyeza Endelea kukamilisha muamala.

 Jinsi ya Kutuma Pesa Kutoka AzamPesa Kwenda MPesa. Kwa kutumia Namba ya USSD:

  1. Piga *150*08#.
  2. Chagua Kutuma Pesa.
  3. Chagua Kutuma Kwa Mitandao Mingine.
  4. Chagua chaguo la 2 kwa MPesa.
  5. Ingiza namba ya mpokeaji.
  6. Weka kiasi.
  7. Thibitisha kwa PIN yako na endelea.

Jinsi ya Kutuma Pesa Kutoka AzamPesa Kwenda T-Pesa Kwa kutumia App ya AzamPesa:

  1. Fungua App yako ya AzamPesa.
  2. Chagua Kutuma Pesa.
  3. Chagua Mitandao Mingine.
  4. Ingiza namba ya mpokeaji (mfano, 0737 XXX XXX).
  5. Weka kiasi unachotaka kutuma.
  6. Bonyeza Endelea kukamilisha uhamisho.

 Jinsi ya Kutuma Pesa Kutoka AzamPesa Kwenda T-Pesa. Kwa kutumia Namba ya USSD:

  1. Piga *150*08#.
  2. Chagua Kutuma Pesa.
  3. Chagua Kutuma Kwa Mitandao Mingine.
  4. Chagua chaguo la 3 kwa T-Pesa.
  5. Ingiza namba ya mpokeaji.
  6. Weka kiasi.
  7. Thibitisha kwa PIN yako kukamilisha muamala.

Kama umechoka makato na unatafuta huduma ya fedha ya simu inayojali mahitaji yako, AzamPesa ndiyo jibu. Pakua app ya AzamPesa leo kisha ujisajili ili uanze kufurahia maisha bila makato mzigo.