Huduma za Azampesa Sasa Zinapatikana Kwenye Migodi ya AzamTV iliyo Karibu Nawe!

Sasa ni rahisi zaidi kupata huduma za Azampesa! Tembelea Mgodi wa AzamTV Dar es Salaam upate huduma zote muhimu kwa urahisi na haraka.

Ndani ya mgodi, utapata huduma zifuatazo:

  • Usajili wa Akaunti ya Azampesa
  • Kuweka au Kutoa Pesa
  • Usajili wa Uwakala Mpya
  • Kupata Lipa Namba ya Azampesa
  • Elimu ya matumizi ya Azampesa

Azampesa iko Mgodini kwa ajili yako fika sasa uweze kupata huduma.