Ruka hadi maudhui
AzamPesa
Pakua App
Rudi kwenye blogu

Faida 3 za Kutumia Lipa Hapa ya AzamPesa kwenye Biashara yako

Dakika 1 za kusoma

Bango la Lipa Hapa ya AzamPesa kwa wafanyabiashara

AzamPesa ni huduma ya kifedha inayokuwezesha kufanya miamala kwa gharama nafuu zaidi, ukiwa kama mfanyabiashara unahitaji Lipa namba ya Azampesa kwenye biashara yako kukusaidia mambo haya muhimu kwa gharama nafuu zaidi ambayo haiumizi mtaji wako.

  • Gharama Nafuu za Miamala: Kufanya miamala kwa AzamPesa ni nafuu zaidi hivyo humuwezesha mlipaji kuokoa kiasi cha pesa anachoweza kukitumia kwenye matumizi mengine ya msingi.
  • Uhamishaji Pesa: Ni rahisi na nafuu kutoa pesa kwa Wakala wa Azampesa vilevile unaweza kuhamisha pesa kwenda Benki BURE.
  • Usimamizi Bora wa Fedha: Upatikanaji wa taarifa za miamala iliyofanywa muda wowote unapohitaji, na hii inakusaidia kusimamia na kufatilia ukuaji wa biashara yako.

Unaweza kupata Azampesa lipa namba kwa kuwa na nakala hizi:

  • Namba ya simu iliyosajiliwa na AzamPesa.
  • Nida Namba.
  • TIN Certificate.
  • Kitambulisho (Cha Kura,NIDA, Passport au Leseni ya udereva)

Kisha tuma kwenda WhatsApp namba 0677099918.

Shiriki makala hii

Makala nyingine

Blogu
  • Bango: huduma za AzamPesa zinapatikana kwenye mgodi wa AzamTV

    Dakika 1 za kusoma

    AzamPesa inapatikana mgodini

    Sasa ni rahisi zaidi kupata huduma za Azampesa! Tembelea Mgodi wa AzamTV Dar es salaam upate huduma zote muhimu kwa urahisi na haraka.

  • Bango: njia za kuwasiliana na AzamPesa

    Dakika 1 za kusoma

    Njia za kuwasiliana nasi

    Ndugu mteja wetu, tunafurahi kuwa wewe ni sehemu ya familia ya Azampesa, na tunashukuru kwa kuendelea kufurahia huduma zetu za nafuu na bora. Ili kuhakikisha unapata msaada wa haraka na huduma za ziada, hizi hapa njia mbalimbali rahisi za kuwasiliana nasi. Njia za Mawasiliano na Azampesa Kupitia SimuTunajivunia kutoa huduma bora kwa wateja wetu!…

  • Bango: Je, wajua? Okoa pesa kwa kutuma AzamPesa kwenda AzamPesa BURE

    Dakika 1 za kusoma

    Je, wajua?

    Unaweza kuokoa pesa ukitumia Azampesa Ikiwa wewe ni mtumiaji wa kawaida na unafanya miamala ya kutuma pesa na unatuma kati ya shilingi 10,000 hadi 20,000 kwa siku, basi unajua makato yake kila unapofanya miamala ni makubwa. Kwa mfano, ukiweza kutuma pesa mara mbili au tatu kwa siku, jumla ya makato yake inaweza kufikia zaidi ya…