Jisajili kwa App

Unaweza kujisajili mwenyewe kirahisi na kwa haraka kupitia App ya AzamPesa.

Jisajili Sasa!

Kujisajili mwenyewe kwa App ya AzamPesa ni rahisi na haraka. Unachohitaji kufanya ni kuweka namba yako ya Simu na namba ya NIDA. Kisha kujibu maswali marahisi kuthibitisha NIDA yako.

Jinsi ya Kujisajili kwa App

Hatua ya 1

Pakua App

Pakua App ya AzamPesa kwenye Google Play Store au iOS App Store

Hatua ya 2

Anza Usajili

Bofya USAJILI BINAFSI chini ya Ingia

Hatua ya 3

Taarifa Binafsi

Jaza namba yako ya simu na namba yako ya NIDA

Hatua ya 4

OTP

Ingiza namba ya siri OTP iliyotumwa kwenye namba yako ya simu

Hatua ya 5

Thibitisha NIDA

Thibitisha namba yako ya NIDA kwa kujibu maswali marahisi

Hatua ya 6

Usajili Umekamilika

Sasa unaweza kuingia kwenye App na kutumia huduma ya AzamPesa