Ruka hadi maudhui
AzamPesa
Pakua App

0 Ziro KoteKote

Fanya miamala BURE kwa AzamPesa.

Kutuma pesa kwenda AzamPesa na kwenda mitandao mingine yote ni BURE kwa kila kiwango. Ada zipo tu kwa kutuma benki, kutoa pesa kwa wakala na Lipa Hapa kwenda mitandao yote na benki.

Viwango vya Agosti 2026

Kutuma pesa

TSh0

  • Kwenda AzamPesaBURE
  • Kwenda mitandao mingineBURE

Usikubali kupigwa, fanya miamala bila makato!

Kipi ni BURE, kipi kina ada

BUREFanya miamala hii BURE bila makato

  • Tuma pesa AzamPesa kwenda AzamPesa
  • Tuma pesa mitandao yote
  • LUKU / TUKUZA
  • Malipo ya Serikali
  • Lipa Bili*
  • Huduma za Azam
  • Nunua vocha
  • Lipia ving'amuzi
  • Bili za maji
  • Kata tiketi
  • Kuangalia salio na taarifa ndogo
  • Taarifa ya mwezi

Huduma zenye ada ndogo

  • Kutuma pesa kwenda benki
  • Kutoa pesa kwa wakala (pamoja na tozo ya serikali)
  • Lipa Hapa kwenda mitandao yote na benki

*Baadhi ya huduma zina makato na haziko kwenye promosheni.

Viwango vya Agosti 2026

Jedwali la gharama

Chagua aina ya muamala. Viwango vyote ni kwa Shilingi za Kitanzania (TSh).

Kutuma pesa

Kutuma kwenda AzamPesa na kwenda mitandao mingine ni BURE. Kutuma benki kuna ada ndogo, na tozo ya serikali ni BURE.

TSh
  • Kwenda AzamPesaBURE
  • Kwenda mitandao mingineBURE
  • Kwenda benki · Tozo ya serikaliBURE
Kutuma pesa
Kiwango (TSh)Kwenda benki
AdaJumla
0 – 9991010
1,000 – 1,9995050
2,000 – 2,9997070
3,000 – 3,999100100
4,000 – 4,999200200
5,000 – 6,999450450
7,000 – 9,999700700
10,000 – 14,9991,0001,000
15,000 – 19,9991,0001,000
20,000 – 29,9991,0001,000
30,000 – 39,9991,6001,600
40,000 – 49,9992,0002,000
50,000 – 99,9992,5002,500
100,000 – 199,9993,5003,500
200,000 – 299,9994,0004,000
300,000 – 399,9994,2004,200
400,000 – 499,9994,5004,500
500,000 – 599,9995,0005,000
600,000 – 699,9995,0005,000
700,000 – 799,9995,0005,000
800,000 – 899,9995,0005,000
900,000 – 1,000,0005,0005,000
1,000,001 – 3,000,0005,0005,000
3,000,001 – 10,000,0005,0005,000

Viwango vya miamala kwa siku

Kuweka au kupokea pesa
TSh 10,000,000 kwa siku
Kutuma au kutoa pesa
TSh 5,000,000 kwa siku

Huduma nyingine

Kuangalia salio / taarifa ndogo
BURE
Taarifa ya mwezi: mwezi uliopita / mwezi huu
BURE

Pakua bango rasmi la gharama

Mabango haya ndiyo chanzo rasmi cha viwango vilivyo kwenye ukurasa huu.

  • Bango la gharama za AzamPesa, Agosti 2026: kutuma pesa BURE kwenda AzamPesa na mitandao mingine, pamoja na ada za kutuma benki na kutoa pesa

    Agosti 2026 · PDF

    Gharama za AzamPesa — 0 Ziro KoteKote

    Pakua PDF
  • Bango la gharama za Lipa Hapa, Septemba 2026: ada za kulipa kwenda mitandao yote na benki

    Septemba 2026 · JPG

    Gharama za Lipa Hapa — Unafuu

    Pakua picha

Tuma pesa BURE kwenda mtandao wowote.

Pakua App ya AzamPesa, jisajili kwa laini ya mtandao wowote na uanze kufanya miamala bila makato.