Ruka hadi maudhui
AzamPesa
Pakua App

Sajili Mwenyewe

Jisajili kwa WhatsApp

Jisajili na AzamPesa kwa kuchati WhatsApp! Yaani ni kama unachati na rafiki.

Mwanamke akitabasamu huku akichati kwenye simu yake
Habari

Jinsi ya Kujisajili

Sasa unaweza kujisajili na AzamPesa kwa kuchati WhatsApp. Unachohitaji kufanya ni kuwa na namba yako ya simu na ya NIDA, kisha bofya linki ya JISAJILI inayopatikana hapa juu na kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii.

  1. Hatua 1Linki ya WhatsAppBofya linki ya JISAJILI WhatsApp (+255 677 099 908) inayopatikana hapa juu au kwenye wasifu wa mitandao yetu ya kijamii.
  2. Hatua 2Anza UsajiliChati ya WhatsApp ikifunguka, tuma Habari. Kisha chagua 1 (Kusajili namba), halafu TUMA.
  3. Hatua 3Ingiza Namba ya SimuAndika namba yako ya simu, halafu TUMA.
  4. Hatua 4OTPIngiza namba ya siri (OTP) iliyotumwa kwenye namba yako ya simu, halafu TUMA.
  5. Hatua 5Thibitisha NIDAAndika namba yako ya NIDA, kisha jibu maswali kuthibitisha NIDA yako.
  6. Hatua 6Usajili UmekamilikaSasa unaweza kutumia huduma za AzamPesa. Piga *150*08# au pakua App.

Unachohitaji

  • Namba yako ya simu
  • Namba ya NIDA
  • WhatsApp kwenye simu yako

AzamPesa

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Kujisajili, utahitaji namba ya simu ya mtandao wowote na namba yako ya NIDA.

Jisajili sasa kwa WhatsApp

Ukimaliza usajili, piga *150*08# au pakua App ya AzamPesa uanze kutumia huduma zetu.