Ruka hadi maudhui
AzamPesa
Pakua App

AzamPesa

Lipa Bili

Furahia kufanya malipo ya bili mbali mbali kwa unafuu na haraka zaidi ukiwa na AzamPesa.

Mwenye duka akitabasamu nyuma ya kaunta yake
LUKU

TSh 10,000

Imelipwa ✓

Malipo unayoweza kufanya

Fanya malipo ya bili mbali mbali kama maji, umeme, ving’amuzi, malipo ya bidhaa (kwa MasterCard QR) kwa unafuu na haraka zaidi ukiwa na AzamPesa.

  • Luku
  • Bili ya Maji
  • Malipo ya Serikali (GEPG)
  • Malipo ya Ving’amuzi
  • Tiketi za ndege
  • MasterCard QR

Jinsi ya Kutumia

Au kwa USSD: piga *150*08#, chagua 4 Lipia Bili, chagua Kampuni, kisha fuata maelekezo rahisi kukamilisha malipo yako.

  1. Hatua 1Fungua App ya AzamPesa
  2. Hatua 2Bofya Lipa Bili
  3. Hatua 3Bofya kuchagua Kampuni
  4. Hatua 4Ingiza Kumbukumbu NambaIngiza Kiasi.
  5. Hatua 5Bofya Endelea, kisha Hakiki taarifa za malipo yako
  6. Hatua 6Bofya TumaIngiza PIN, kisha Thibitisha.

Kampuni zinazopokea malipo

AzamPesa

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Unaweza kufanya miamala mbalimbali na AzamPesa. Kama vile kutuma na kupokea pesa, kulipia bili, kununua muda wa maongezi, kufanya malipo ya serikali, kulipia huduma za Azam na kufanya miamala ya kibenki.

Usipange foleni

Kamilisha malipo yako yote kidigitali na AzamPesa.