Ruka hadi maudhui
AzamPesa
Pakua App

Mawakala

Kuwa Wakala Ujipatie Kamisheni Nono

Wakala wa AzamPesa ni Mshirika rasmi wa AzamPesa anayetoa huduma za kifedha kama kuweka na kutoa pesa, kuuza muda wa maongezi na vifurushi vya AzamTV kwa wateja.

Wakala akiweka bango la AzamPesa Wakala juu ya duka lake
Kamisheni

TSh 1,200

Imeingia ✓

Faida za kuwa wakala

Wakala pia husaidia katika masuala ya huduma kwa wateja, huku wakipata kamisheni kwa kila muamala unaofanyika kupitia huduma zao.

  • Kamisheni kubwa zaidiKamisheni kubwa zaidi kulinganisha na mitandao mingine.
  • Weka pesa kwa mtejaUnaweza kumwekea mteja pesa.
  • Kutoa pesaMteja anaweza kutoa pesa.
  • Muda wa maongezi na vifurushi vya AzamTVKuuza muda wa maongezi na vifurushi vya AzamTV kujipatia kamisheni.
  • Mtandao wowoteWakala anaweza kutumia mtandao wowote kuunganisha uwakala wa AzamPesa.

Vigezo vya Kuwa Wakala wa AzamPesa

Ili kuwa wakala wa AzamPesa tuma nakala hizi kwenda WhatsApp namba 0677 099 918:

  1. Hatua 1Namba ya NIDA
  2. Hatua 2TIN ya Biashara
  3. Hatua 3Sajili namba utakayotumia kuwa Wakala wa AzamPesa

AzamPesa

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Kumuwekea mteja salio, kumsaidia mteja kutoa pesa, kuunga vifurushi vya AzamTV na kuuza muda wa maongezi.

Kuwa Wakala Ujipatie Kamisheni Nono

Kwa msaada zaidi tupigie simu BURE 0800 785 555.