AzamPesa
Malipo ya Serikali
Fanya malipo ya serikali kiurahisi zaidi ukiwa na AzamPesa.

TSh 45,000
Imelipwa ✓Unaweza kulipia huduma hizi
AzamPesa inakuwezesha kufanya malipo yote ya Serikali kiurahisi kabisa kiganjani mwako. Unaweza kufanya malipo popote pale ulipo wakati wowote ule na AzamPesa.
- Bili za maji
- Faini za polisi
- Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
- Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA)
- Ardhi
- Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGA)
Jinsi Inavyofanya Kazi
Au kwa USSD: piga *150*08#, chagua 4 Lipia Bili, chagua 2 Malipo ya Serikali, weka kumbukumbu namba na kiasi, kisha weka namba ya siri kufanya malipo.
- Hatua 1Fungua App ya AzamPesa
- Hatua 2Bofya Malipo ya Serikali
- Hatua 3Weka Kumbukumbu Namba
- Hatua 4Weka Kiasi
- Hatua 5Hakiki taarifa za malipo yako, kisha Bofya Fanya malipo
- Hatua 6Weka PIN yako ya AzamPesa, kisha Thibitisha
Unaweza kulipia huduma hizi
AzamPesa
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Unaweza kufanya miamala mbalimbali na AzamPesa. Kama vile kutuma na kupokea pesa, kulipia bili, kununua muda wa maongezi, kufanya malipo ya serikali, kulipia huduma za Azam na kufanya miamala ya kibenki.
Unaweza kupata huduma za AzamPesa kwa kupiga 15008# au kupitia App ya AzamPesa kwenye mitandao ya Tigo au Airtel. Kwenye mitandao ya Vodacom na Halotel, kwa sasa inapatikana kupitia App ya AzamPesa tu, inayopatikana kwenye Google Play Store au iOS App Store.
Ikiwa hauwezi kupata Menyu ya AzamPesa inamaanisha kuwa haujasajiliwa na AzamPesa au unatumia laini ya mtandao wa Vodacom au Halotel. Ikiwa hujasajiliwa, tafadhali angalia maelezo ya usajili. Ikiwa una laini ya mtandao wa Vodacom au Halotel, kwa sasa unaweza kupata AzamPesa kupitia App.
Lipia Luku, maji, TRA, TARURA, Ardhi na mengine mengi.
Unaweza kufanya malipo popote pale ulipo wakati wowote ule na AzamPesa.










