Slide 1
Slide 2
website banner
previous arrow
next arrow

Tuma/Toa Pesa

Lipa Bili

Huduma za Benki

Malipo ya Serikali

Nunua Muda wa Maongezi

Huduma za Azam

Kuhusu AzamPesa

AzamPesa ni huduma ya fedha kwa njia ya simu inayopatikana kwenye iOS na Google Play. Inakupa njia rahisi na ya uhakika ya kutuma/kutoa pesa, kulipa bili, kununua muda wa maongezi, kupata huduma za kibenki, kufanya malipo ya serikali, na kulipia huduma za Azam.

Unaweza kujiandikisha kirahisi kwa kufuata hatua chache, ikiwa ni pamoja na usajili binafsi unapopakua App yetu kwenye simu yako. Ukiwa na AzamPesa, unaweza kusimamia mahitaji yako yote ya kifedha kutoka sehemu moja

Pakua App leo upate urahisi wa kufanya miamala popote pale Tanzania.

Jisajili & Anza kutumia AzamPesa 

Kujisajili na AzamPesa imekua rahisi zaidi. Unaweza kujisajili kwa njia mojawapo kati ya hizi tatu:

Jisajili kwa App

Jisajili Kwa WhatsApp

Sajiliwa Na Msajili Wetu

Gharama za AzamPesa

Gharama za AzamPesa ni nafuu zaidi. Sasa unaweza kutuma pesa AzamPesa kwenda AzamPesa kwa ada ya shilingi 0. Yani ni bureeee! Haya ndo Maisha bila Makato.