Ruka hadi maudhui
AzamPesa
Pakua App

Wakala wa Usajili

Sajiliwa na Wakala wetu

Unaweza kusajiliwa na wakala wetu wa AzamPesa waliotapakaa nchi nzima.

Msajili wa AzamPesa akimsajili mteja kwenye meza ya AzamPesa

Jinsi ya Kusajiliwa na Wakala wetu wa AzamPesa

Zoezi la usajili ni la haraka sana, muhimu ni kuwa na namba ya simu na kitambulisho/namba ya NIDA. Uthibitisho wa NIDA utafanyika kwa kuscan alama yako ya kidole.

  1. Hatua 1Mpate msajili wetuKundi la wawakilishi wetu wa usajili wanapita maeneo tofauti tofauti kuwasajili wateja.
  2. Hatua 2Au tembelea duka la AzamUnaweza kusajiliwa kwenye vituo mbalimbali vya usajili au kwenye maduka yote ya Azam: maduka ya AzamTV na vibanda vyake, maduka ya Azam Ice-cream na maduka ya bidhaa za chakula za Azam.
  3. Hatua 3Toa namba ya simu na NIDAMpe msajili namba yako ya simu na namba yako ya NIDA.
  4. Hatua 4Thibitisha kwa kidole gumbaUthibitisho wa NIDA utafanyika kwa kuscan alama yako ya kidole.

Kujisajili utahitaji kuwa na vitu vitatu

  • Namba yako ya NIDA
  • Simu yako
  • Kidole gumba

AzamPesa

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Kujisajili, utahitaji namba ya simu ya mtandao wowote na namba yako ya NIDA.

Sajiliwa na wakala wetu leo!

Ukimaliza usajili, piga *150*08# au pakua App ya AzamPesa uanze kutumia huduma zetu.