
TSh 2,000
Umepokelewa ✓Kuhusu Huduma
- Mtandao wowoteHuduma ya AzamPesa inawezesha kununua muda wa maongezi wa mtandao wowote ule kwa haraka zaidi.
- Papo hapoAzamPesa inakupa uhuru wa kununua muda wa maongezi wa mitandao yote papo hapo.
- Kwa mtu mwingineUnaweza kununua muda wa maongezi kwa mtu mwingine wa mtandao wowote kupitia AzamPesa pia.
Jinsi ya Kutumia
Au kwa USSD: piga *150*08#, chagua 2 Muda wa Maongezi, chagua mtandao wa simu, weka namba ya simu na kiasi, kisha weka namba ya siri kukamilisha.
- Hatua 1Fungua App ya AzamPesa
- Hatua 2Bofya Muda wa Maongezi
- Hatua 3Chagua Mtandao wa Simu
- Hatua 4Weka namba ya simuWeka Kiasi, kisha Bofya Endelea.
- Hatua 5Hakiki taarifa kisha Bofya Muda wa maongezi
- Hatua 6Weka namba ya SIRI kisha Thibitisha
Nunua muda wa maongezi ya mitandao hii
AzamPesa
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Ndiyo,
- Unaweza kununua muda wa maongezi wa mtandao wowote wa simu ukitumia AzamPesa.
- Unaweza kununua muda wa maongezi kwa mtu mwingine wa mtandao wowote kupitia AzamPesa pia.
Unaweza kupata huduma za AzamPesa kwa kupiga 15008# au kupitia App ya AzamPesa kwenye mitandao ya Tigo au Airtel. Kwenye mitandao ya Vodacom na Halotel, kwa sasa inapatikana kupitia App ya AzamPesa tu, inayopatikana kwenye Google Play Store au iOS App Store.
Ikiwa hauwezi kupata Menyu ya AzamPesa inamaanisha kuwa haujasajiliwa na AzamPesa au unatumia laini ya mtandao wa Vodacom au Halotel. Ikiwa hujasajiliwa, tafadhali angalia maelezo ya usajili. Ikiwa una laini ya mtandao wa Vodacom au Halotel, kwa sasa unaweza kupata AzamPesa kupitia App.
Nunua muda wa maongezi wa mitandao yote papo hapo.
Timu yetu ya huduma kwa wateja ipo tayari kukusaidia masaa 24.




