Ruka hadi maudhui
AzamPesa
Pakua App

AzamPesa Lipa Hapa

Sajili biashara yako na Lipa Hapa

AzamPesa Lipa Hapa ni suluhisho rahisi na la kisasa kwa wafanyabiashara kupokea malipo moja kwa moja kutoka kwa wateja kupitia simu zao!

Mfanyabiashara wa matunda akipokea malipo kwa simu sokoni
Malipo yamepokelewa

TSh 12,500

Lipa Hapa ✓

Huduma za Lipa Hapa

AzamPesa Lipa Hapa inakupa huduma bora za malipo kwa biashara yako!

  • Pokea malipo bila makatoPokea malipo kutoka kwa wateja wako bila kutozwa hata senti moja.
  • Mitandao yote na benkiPokea malipo kutoka kwa wateja wa mitandao yote ya simu na benki.
  • Hamisha kwenda benki bureHamisha pesa kwenda benki bila gharama yoyote.
  • Toa pesa kwa urahisiToa pesa kwa urahisi kupitia mawakala wa AzamPesa au benki kama CRDB na NMB.

Jinsi ya kupata Lipa Hapa

Vigezo vya kupata Lipa Hapa ni namba ya NIDA, TIN ya biashara na namba ya simu iliyosajiliwa na AzamPesa.

  1. Hatua 1Sajili namba yako na AzamPesaNamba utakayotumia kwenye biashara iwe imesajiliwa na AzamPesa.
  2. Hatua 2Andaa NIDA na TINKuwa na namba yako ya NIDA na TIN ya biashara.
  3. Hatua 3Tuma WhatsAppTuma taarifa hizo kwenda WhatsApp namba 0677 099 918.
  4. Hatua 4Anza kupokea malipoWateja wako wanalipa kupitia USSD au App ya AzamPesa kwa kuingiza namba yako ya biashara na kuthibitisha muamala.

Unachohitaji

  • Namba ya NIDA
  • TIN ya biashara
  • Namba ya simu iliyosajiliwa na AzamPesa

AzamPesa

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

AzamPesa Lipa Hapa ni huduma inayomuwezesha mfanyabiashara kupokea malipo ya bidhaa au huduma kutoka kwa wateja kupitia simu zao. Wateja wanaweza kulipa kutoka mitandao yote ya simu na hata kupitia benki.

Sasa biashara yako itaruka na AzamPesa Lipa Hapa

Kupokea malipo kumekuwa rahisi zaidi kuliko unavyofikiria!