Ruka hadi maudhui
AzamPesa
Pakua App

AzamPesa

Huduma za Azam

Lipia Huduma mbalimbali za Azam kwa AzamPesa.

Wanawake watatu wakiangalia simu pamoja dukani
AzamTV

TSh 20,000

Imelipwa ✓

Huduma za Azam Unazoweza Kulipia

Fanya malipo ya bidhaa mbali mbali za Azam kwa urahisi zaidi kupitia AzamPesa.

  • AzamTVWateja wa AzamTV wanaweza kulipia vifurushi vya ving’amuzi vyao vya AzamTV kiurahisi na kwa haraka kupitia AzamPesa na kupata ofa mbalimbali kama vile kurudishiwa kiasi cha fedha.
  • AzamFerryOkoa muda wa kupanga foleni na kuchelewa kuingia kwenye Boti za Azam kwa kukata tiketi zako mtandaoni na kufanya malipo kwa haraka kupitia AzamPesa.
  • SARAFUWateja wa SARAFU wanaweza kulipa bili zao kirahisi kupitia AzamPesa. Wateja wanatakiwa kwanza kutoa oda zao kupitia SARAFU APP na kuchagua AzamPesa kama njia ya malipo.

Jinsi ya Kutumia: AzamTV

Au kwa USSD: piga *150*08#, chagua 4 Lipia Bili, kisha 4 Azam Tv. Kwa AzamFerry na SARAFU: bofya Akaunti Yangu kisha Malipo yaliyosubirishwa kwenye App (au piga *150*08#, chagua 7 Akaunti yangu, kisha 6 kuona malipo yaliyosubirishwa).

  1. Hatua 1Fungua App ya AzamPesa
  2. Hatua 2Bofya Huduma za AzamBofya AzamTV Vifurushi.
  3. Hatua 3Chagua muda wa kifurushi unachotaka kulipiaChagua kiwango cha kifurushi unachotaka kulipia.
  4. Hatua 4Andika namba ya kadi yako ya king’amuziBofya Nunua sasa.
  5. Hatua 5Hakiki taarifa, kisha Bofya Nunua Kifurushi
  6. Hatua 6Weka namba ya siri kukamilisha malipo

Huduma za Azam unazoweza kulipia

AzamPesa

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

AzamPesa ni huduma ya kifedha kwa njia ya simu inayokuwezesha kufanya miamala kwa gharama nafuu. Kama kutuma na kupokea pesa, kununua muda wa maongezi, kulipa kwa simu kwa mfanyabiashara, kulipa bili kama Luku na maji, kufanya malipo ya serikali, kufanya miamala ya kibenki na kulipia huduma za Azam kama tiketi za Boti, Vifurushi vya ving’amuzi vya AzamTV na zaidi.

Kwa kulipia bidhaa za Azam kwa AzamPesa unaweza kupata OFA na PUNGUZO mbali mbali.

Timu yetu ya huduma kwa wateja ipo tayari kukusaidia masaa 24.