Ruka hadi maudhui
AzamPesa
Pakua App

AzamPesa

Tuma & Toa Pesa

AzamPesa ni ya mitandao yote. Tuma pesa kwenda mtandao wowote kwa wote waliojisajili na AzamPesa.

Kijana akimwonyesha babu yake kitu kwenye simu
Kutoka kwa Babu

TSh 30,000

Imepokelewa ✓

Kuhusu Huduma

AzamPesa ni njia rahisi na ya kuaminika ya kutuma au kutoa pesa.

  • Mtandao wowote uleUnaweza kutuma pesa kwenda mtandao wowote ule, kwani kila mmoja anaweza kujisajili na AzamPesa kwa laini ya mtandao huo huo alionao.
  • Mawakala nchi nzimaToa pesa kwa mawakala wetu nchi nzima.
  • Rahisi na ya kuaminikaAzamPesa ni njia rahisi na ya kuaminika ya kutuma au kutoa pesa.
  • Simamia fedha zako kwa uhuruHuduma yetu imetengenezwa kuwa huduma iliyo rahisi kutumia na inayomuwezesha mteja kulinda na kusimamia fedha zake kwa uhuru.

Jinsi Inavyofanya Kazi: Kutuma Pesa

Kwa USSD: piga *150*08#, chagua 1 Tuma Pesa. Kutoa pesa: piga *150*08# na uchague 3 Kutoa Pesa, au bofya Toa Pesa kwenye App na uweke namba ya wakala ya AzamPesa.

  1. Hatua 1Fungua App ya AzamPesa
  2. Hatua 2Bofya Tuma Pesa
  3. Hatua 3Weka namba ya mpokeaji iliyosajiliwa na AzamPesa
  4. Hatua 4Weka Kiasi
  5. Hatua 5Bofya Endelea kisha Hakiki taarifa
  6. Hatua 6Bofya TUMAWeka PIN, kisha Thibitisha.

AzamPesa

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Unaweza kutuma kiasi chochote hadi Tsh milioni 5.

Toa pesa kwa mawakala wetu nchi nzima.

Punde tu baada ya kukamilisha usajili wako wa AzamPesa, utakuwa na uwezo wa kutuma na kutoa pesa.