MpyaKwa wageni wa Tanzania na Zanzibar
Bila laini ya simu, bila wasiwasi. Lipa kama mwenyeji Tanzania.
Weka pesa kutoka kwenye kadi yako ya Visa, kisha lipa duka lolote kwa msimbo wa QR na tuma kwa yeyote bure.

TSh 20,000
Ada TSh 0 ✓Tuma & Toa Pesa
AzamPesa ni ya mitandao yote. Tuma pesa kwenda mtandao wowote kwa wote waliojisajili na AzamPesa. Toa pesa kwa mawakala wetu nchi nzima.

TSh 30,000
Imepokelewa ✓AzamPesa Lipa Hapa
Huduma hii inakupa uwezo wa kupokea pesa kutoka mitandao yote ya simu na benki bila usumbufu wowote.
Lipia
Furahia kufanya malipo ya bili mbali mbali kwa unafuu na haraka zaidi ukiwa na AzamPesa.
Jifunze Zaidi
TSh 10,000
Imelipwa ✓AzamPesa inakuwezesha kufanya malipo yote ya Serikali kiurahisi kabisa kiganjani mwako.
Jifunze Zaidi
TSh 45,000
Imelipwa ✓AzamPesa inakupa uhuru wa kununua muda wa maongezi wa mitandao yote papo hapo.
Jifunze Zaidi
TSh 2,000
Umepokelewa ✓Wateja wa AzamTV wanaweza kulipia vifurushi vya ving’amuzi vyao kiurahisi na kwa haraka kupitia AzamPesa.
Jifunze Zaidi
TSh 20,000
Imelipwa ✓Hamisha pesa kutoka kwenye akaunti yako ya benki kwenda AzamPesa, na kutoka AzamPesa kwenda benki.
Jifunze Zaidi
TSh 150,000
Imehamishwa ✓
Kadi & Safari
Gusa kadi ni kadi ya malipo ambayo inaunganishwa moja kwa moja na waleti ya AzamPesa. Kadi ya Gusa inakuwezesha kufanya miamala yote na huduma zote za AzamPesa.
Jifunze ZaidiUnatembelea Tanzania? Lipa kama mwenyeji kwa AzamPesa na Visa — sokoni, mgahawani na popote unapokwenda.
Pay Like a LocalUnaweza kujisajili mwenyewe kirahisi na kwa haraka kupitia App ya AzamPesa.
Pakua App
TSh 4,500
Imelipwa ✓
Namba yako ya siri (PIN) ni yako peke yako. AzamPesa haitakuomba PIN yako kamwe.

Unaweza kujisajili mwenyewe kirahisi na kwa haraka kupitia App ya AzamPesa.
Jisajili
Unaweza kusajiliwa na wakala wetu wa AzamPesa waliotapakaa nchi nzima.
Jifunze Zaidi
Toa huduma za kuweka na kutoa pesa, na ujipatie kamisheni nono kwa kila muamala.
Kuwa WakalaGharama
0 Ziro KoteKote! Sasa unaweza kutuma pesa AzamPesa kwenda AzamPesa na kwenda mitandao mingine BURE. Ada zinatozwa kwa kutoa pesa na kutuma kwenda benki tu. Haya ndo Maisha bila Makato.
Blogu
Sajili Mwenyewe
Pakua AzamPesa App leo ufanye miamala kwa gharama nafuu ukiwa popote pale Tanzania.