by Meki Kilalile | Nov 16, 2024 | Huduma
AzamPesa inaleta mapinduzi katika ulimwengu wa huduma za kifedha kwa kutoa unafuu wa gharama, usalama wa hali ya juu, na urahisi wa kufanya miamala. Hizi hapa ni faida na huduma unazoweza kufurahia unapojisajili na kutumia AzamPesa. 1. Faida za Kutumia AzamPesa...
by Meki Kilalile | Nov 13, 2024 | Huduma
Urahisi wa kutuma pesa kupitia mitandao mbalimbali ya simu ni muhimu sana. AzamPesa inafanya mchakato huu kuwa rahisi, salama, na haraka. Jinsi ya Kutuma Pesa Kutoka AzamPesa Kwenda TigoPesa / EzyPesa Kwa kutumia App ya AzamPesa: Fungua App yako ya AzamPesa. Chagua...
by Meki Kilalile | Nov 12, 2024 | Huduma
Unataka kujisajili AzamPesa ili uanze kufurahia gharama nafuu za makato? Kujisajili AzamPesa ni rahisi mno. Ili uweze kujisajili, hatua ya kwanza ni kupakua app ya AzamPesa ambayo inapatikana playstore na appstore. HATUA ZA KUJISAJILI KWA WATUMIAJI WA ANDROID 1....
by Meki Kilalile | Oct 6, 2024 | Huduma, Kampeni, Mengineyo, Ona Zote
AzamPesa ni Nini? AzamPesa ni huduma ya pesa kwa njia ya simu inayokuwezesha kufanya kufanya miamala kwa gharama nafuu. Hii inajumuisha kutuma na kupokea pesa, kununua vocha za muda wa maongezi, malipo ya wafanyabiashara, kulipa bili kama vile umeme na maji, malipo ya...