Malipo Ya Serikali

Fanya malipo ya serikali kiurahisi zaidi ukiwa na AzamPesa

Kuhusu Huduma

AzamPesa inakuwezesha kufanya malipo yote ya Serikali kiurahisi kabisa kiganjani mwako. Unaweza kufanya malipo popote pale ulipo wakati wowote ule na AzamPesa.

Lipia:

 • Luku
 • Bili za maji
 • Faini za polisi
 • Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
 • Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA)
 • Ardhi
 • Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGA)

Na mengine mengi.

 

Jinsi Inavyofanya Kazi

 1. Piga *150*08#
 2. Chagua 4 Lipia Bili
 3. Chagua 2 Malipo ya Serikali
 4. Weka Kumbukumbu namba
 5. Weka  kiasi unachotaka kulipa
 6. Hakikisha taarifa zako za malipo kisha Weka namba ya siri kufanya malipo

AU

 1. Fungua App ya AzamPesa
 2.  Bofya Malipo ya Serikali
 3. Weka Kumbukumbu Namba
 4. Weka Kiasi
 5. Hakiki taarifa za malipo yako, kisha Bofya Fanya malipo
 6. Weka PIN yako ya AzamPesa, kisha Thibitisha

Unaweza kulipia huduma hizi