Lipa Bili

Furahia kufanya malipo ya bili mbali mbali  kwa unafuu na haraka zaidi ukiwa na AzamPesa.

Kuhusu Huduma

Fanya malipo ya bili mbali mbali kama Maji, umeme, ving’amuzi, malipo ya bidhaa (kwa MasterCard QR) kwa unafuu na haraka zaidi ukiwa na AzamPesa.

Malipo unayoweza kufanya:

 • Luku
 • Bili ya Maji
 • Malipo ya Serikali (GEPG)
 • Malipo ya Ving’amuzi
 • Tiketi za ndege
 • Malipo ya Huduma za Intaneti
 • UTT
 • MasterCard QR

Usipange foleni, kamilisha malipo yako yote kidigitali na AzamPesa.

Jinsi ya Kutumia

 1. Piga *150*08#
 2. Chagua 4 Lipia Bili
 3. Chagua Kampuni
 4. Fuata maelekezo rahisi kukamilisha malipo yako

AU

 1. Fungua App ya AzamPesa
 2. Bofya Lipa Bili
 3. Bofya kuchagua Kampuni
 4. Ingiza Kumbukumbu Namba
 5. Ingiza Kiasi
 6. Bofya Endelea, kisha Hakiki taarifa za malipo yako
 7. Bofya Tuma
 8. Ingiza PIN, kisha Thibitisha

Kampuni zinazopokea malipo