Blogu

NJIA ZA KUWASILIANA NASI.

NJIA ZA KUWASILIANA NASI.

Ndugu mteja wetu, tunafurahi kuwa wewe ni sehemu ya familia ya Azampesa, na tunashukuru kwa kuendelea kufurahia huduma zetu za nafuu na bora. Ili kuhakikisha unapata msaada wa haraka na huduma za ziada, hizi hapa njia mbalimbali rahisi za kuwasiliana nasi. Njia za...

JE WAJUA!

JE WAJUA!

Unaweza kuokoa pesa ukitumia Azampesa  Ikiwa wewe ni mtumiaji wa kawaida na unafanya miamala ya kutuma pesa na unatuma kati ya shilingi 10,000 hadi 20,000 kwa siku, basi unajua makato yake kila unapofanya miamala ni makubwa. Kwa mfano, ukiweza kutuma pesa mara mbili...

JINSI YA KUPATA FLOTI ZA MAWAKALA WA AZAMPESA

JINSI YA KUPATA FLOTI ZA MAWAKALA WA AZAMPESA

FLOTI ZA MAWAKALA WA AZAMPESA Azampesa inaendelea kuboresha huduma kwa mawakala. Azampesa inaendelea kuboresha huduma zake kwa mawakala wake walioko kote nchini. Kama wewe ni wakala, sasa unaweza kufika kwenye vituo mbalimbali vya huduma kupata huduma ya floti, ambayo...

Faida za Kutumia AzamPesa: Huduma Bora na Unafuu Kwa Mahitaji Yako

Faida za Kutumia AzamPesa: Huduma Bora na Unafuu Kwa Mahitaji Yako

AzamPesa inaleta mapinduzi katika ulimwengu wa huduma za kifedha kwa kutoa unafuu wa gharama, usalama wa hali ya juu, na urahisi wa kufanya miamala. Hizi hapa ni faida na huduma unazoweza kufurahia unapojisajili na kutumia AzamPesa.1. Faida za Kutumia AzamPesa Miamala...

AzamPesa ni Nini?

AzamPesa ni Nini?

AzamPesa ni Nini? AzamPesa ni huduma ya pesa kwa njia ya simu inayokuwezesha kufanya kufanya miamala kwa gharama nafuu. Hii inajumuisha kutuma na kupokea pesa, kununua vocha za muda wa maongezi, malipo ya wafanyabiashara, kulipa bili kama vile umeme na maji, malipo ya...