Muda wa Maongezi

Nunua Muda wa Maongezi wa mitandao yote.

Kuhusu Huduma

Huduma ya AzamPesa, inawezesha kununua muda wa Maongezi wa Mtandao wowote ule kwa haraka zaidi.

AzamPesa inakupa uhuru wa kununua muda wa maongezi wa mitandao yote papo hapo.

Jinsi ya kutumia

 1. Piga *150*08#
 2. Chagua 2 Muda wa Maongezi
 3. Chagua Mtandao wa Simu
 4. Weka Namba ya simu
 5. Weka Kiasi
 6. Weka namba ya Siri kukamilisha

AU

 1. Fungua App ya AzamPesa
 2. Bofya Muda wa Maongezi
 3. Chagua Mtandao wa Simu
 4. Weka namba ya simu
 5. Weka Kiasi
 6. Bofya Endelea
 7. Hakiki taarifa kisha Bofya Muda wa maongezi
 8. Weka namba ya SIRI kisha Thibitisha

Nunua muda wa maongezi ya mitandao hii