Sajiliwa na Wakala wetu

Unaweza kusajiliwa na wakala wetu wa AzamPesa waliotapakaa nchi nzima

Sajiliwa na Wakala wetu leo!

Zoezi la usajili ni la haraka sanaa, muhimu ni kuwa na Namba ya simu na Kitambulisho/namba ya NIDA. Uthibitisho wa NIDA utafanyika kwa kuscan alama yako ya kidole.

Jinsi ya Kusajiliwa na Wakala wetu wa AzamPesa