NJIA ZA KUWASILIANA NASI.

NJIA ZA KUWASILIANA NASI.

Ndugu mteja wetu, tunafurahi kuwa wewe ni sehemu ya familia ya Azampesa, na tunashukuru kwa kuendelea kufurahia huduma zetu za nafuu na bora. Ili kuhakikisha unapata msaada wa haraka na huduma za ziada, hizi hapa njia mbalimbali rahisi za kuwasiliana nasi. Njia za...
JE WAJUA!

JE WAJUA!

Unaweza kuokoa pesa ukitumia Azampesa  Ikiwa wewe ni mtumiaji wa kawaida na unafanya miamala ya kutuma pesa na unatuma kati ya shilingi 10,000 hadi 20,000 kwa siku, basi unajua makato yake kila unapofanya miamala ni makubwa. Kwa mfano, ukiweza kutuma pesa mara mbili...