by Meki Kilalile | Nov 12, 2024 | Huduma
Unataka kujisajili AzamPesa ili uanze kufurahia gharama nafuu za makato? Kujisajili AzamPesa ni rahisi mno. Ili uweze kujisajili, hatua ya kwanza ni kupakua app ya AzamPesa ambayo inapatikana playstore na appstore. HATUA ZA KUJISAJILI KWA WATUMIAJI WA ANDROID 1....