Unaweza kuokoa pesa ukitumia Azampesa
Ikiwa wewe ni mtumiaji wa kawaida na unafanya miamala ya kutuma pesa na unatuma kati ya shilingi 10,000 hadi 20,000 kwa siku, basi unajua makato yake kila unapofanya miamala ni makubwa. Kwa mfano, ukiweza kutuma pesa mara mbili au tatu kwa siku, jumla ya makato yake inaweza kufikia zaidi ya shilingi 1,000 kwa siku.
Suluhisho ni Azampesa! Ikiwa utachagua kutumia Azampesa kutuma pesa kutoka Azampesa kwenda Azampesa, unaweza kutuma kiasi chochote bila makato na kuokoa yale makato ambayo ungekatwa na huduma nyingine, kutuma pesa Azampesa kwenda Azampesa nii BURE na unaweza kutuma hadi Tsh milioni 5 kwa wakati mmoja.
Faida ya Kutuma Pesa Bure kupitia Azampesa ukifanya miamala ya kila siku na kuokoa makato, utapata faida ya kutumia pesa za makato kufanya mambo mengine ya msingi, Kwa mfano, ikiwa unatuma shilingi 10,000 hadi 20,000 kwa siku, makato yake kwa wiki ni zaidi ya Elfu 7,000 lakini unaweza kuokoa pesa yote hiyo kwa kutumia Azampesa pekee.
- Kwa wiki, unaweza kuokoa shilingi 7,000 au zaidi!
- Kwa mwezi, unaweza kuokoa shilingi 28,000 au zaidi!
Hii ni fursa nzuri kwa mtumiaji yeyote wa Azampesa, kwani unapata huduma bora bila makato yoyote.
Hivyo basi unapofikiria kutuma pesa, fikiria kuhusu faida ya kutumia Azampesa – utaweza kufanya miamala kwa aman na wakati huohuo utaweza kuokoa pesa kwa kila muamala.