Jisajili kwa WhatsApp
Jisajili na AzamPesa kwa kuchati WhatsApp!
Jisajili Sasa!
Sasa unaweza kujisajili na AzamPesa kwa kuchati WhatsApp. Yaani ni kama unachati na rafiki! Unachohitaji kufanya ni kuwa na namba yako ya Simu na ya NIDA, kisha Bofya Linki ya JISAJILI inayopatikana kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii.
Jinsi ya Kujisajili

Hatua ya 1
Linki ya WhatsApp
Bofya Linki ya JISAJILI WhatsApp inayopatikana kwenye wasifu wa mitandao yetu ya kijamii

Hatua ya 2
Anza Usajili
Chati ya WhatsApp ikifunguka,tuma Habari. Kisha chagua 1 (Kusajili namba) alafu TUMA

Hatua ya 3
Ingiza Namba ya Simu
Andika namba yako ya simu, alafu TUMA

Hatua ya 4
OTP
Ingiza namba ya siri OTP iliyotumwa kwenye namba yako ya simu, alafu TUMA

Hatua ya 5
Thibitisha NIDA
Andika namba yako ya NIDA, kisha jibu maswali kuthibitisha NIDA yako

Hatua ya 6
Usajili Umekamilika
Sasa unaweza kutumia huduma ya AzamPesa. Piga *150*08# au Pakua App

Yote yaliyomo kwenye tovuti hii ni mali ya AzamPesa. Haki zote zimehifadhiwa. Hakimiliki.