Unataka kujisajili AzamPesa ili uanze kufurahia gharama nafuu za makato? Kujisajili AzamPesa ni rahisi mno. 

Ili uweze kujisajili, hatua ya kwanza ni kupakua app ya AzamPesa ambayo inapatikana playstore na appstore.

HATUA ZA KUJISAJILI KWA WATUMIAJI WA ANDROID

1. Fungua Playstore

2. Sachi neno AzamPesa

3. Pakua Application ya AzamPesa kwa kubonyeza neno (install)

4. Fungua app ya AzamPesa kisha bofya Usajili Binafsi

5. Jaza namba ya simu na namba ya NIDA

6. Weka OTP (namba ya siri uliyotumiwa na AzamPesa)

7. Jaza maswali mawili ya NIDA kuthibitisha NIDA yako

8. Usajili utakuwa umekamilika 

HATUA ZA KUJISAJILI KWA WATUMIAJI WA IOS

1. Fungua Appstore

2. Sachi neno AzamPesa

3. Pakua Application ya AzamPesa kwa kubonyeza neno (install)

4. Fungua app ya AzamPesa kisha bofya Usajili Binafsi

5. Jaza namba ya simu na namba ya NIDA

6. Weka OTP (namba ya siri uliyotumiwa na AzamPesa)

7. Jaza maswali mawili ya NIDA kuthibitisha NIDA yako

8. Usajili utakuwa umekamilika 

Njia nyingine ni kwenda kusajiliwa na wawakilishi wetu wa usajili wa AzamPesa (Freelancers), wanaopatikana mtaani kwako na kwenye maduka yoyote ya Azam kama vile AzamTV, Azam Ice-cream, AzamFood products na AzamMarine.