Slide 1
Slide 2
website banner
previous arrow
next arrow

Tuma/Toa Pesa

Lipa Bili

Huduma za Benki

Malipo ya Serikali

Nunua Muda wa Maongezi

Huduma za Azam

Kuhusu AzamPesa

AzamPesa ni huduma ya fedha kwa njia ya simu inayokuwezesha kufanya miamala kwa gharama nafuu. Inapatikana kwenye iOS na Google Play. AzamPesa inakupa njia rahisi na ya uhakika ya kutuma/kutoa pesa, kulipa bili, kununua muda wa maongezi, kupata huduma za kibenki, kufanya malipo ya serikali, na kulipia huduma za Azam.

Unaweza kujisajili na AzamPesa mwenyewe kwa kupakua App yetu kwenye simu yako. Au unaweza kusajiliwa na wawakilishi wetu waliopo Tanzania nzima.

Pakua AzamPesa App leo ufanye maiamala kwa gharama nafuu ukiwa popote pale Tanzania.

Jisajili & Anza kutumia AzamPesa 

Jisajili kwa App

Sajiliwa Na Msajili Wetu

Kuwa Wakala Wa Azampesa

Gharama za AzamPesa

Gharama za AzamPesa ni nafuu zaidi. Sasa unaweza kutuma pesa AzamPesa kwenda AzamPesa kwa ada ya shilingi 0. Yani ni bureeee! Haya ndo Maisha bila Makato.